Rudi Nyumbani
Sera ya Faragha
Tunathamini faragha yako. Hii ni sera yetu ya jinsi tunavyoshughulikia taarifa zako.
Taarifa Tunazokusanya
Tunakusanya taarifa zifuatazo unapotumia jukwaa letu:
- Taarifa za usajili — username, email, chuo (optional)
- Maudhui unayochapisha — threads, comments, picha
- Taarifa za matumizi — IP address, browser, device
Jinsi Tunavyotumia Taarifa
Taarifa zako zinatumika kwa:
- Kukupa huduma za jukwaa
- Kuboresha huduma zetu
- Kukulinda wewe na wanachuo wengine
- Kukutumia taarifa muhimu (kama unakubali)
Usalama wa Taarifa
Tunachukua hatua za usalama kulinda taarifa zako. Password zako zimehifadhiwa kwa njia ya
encryption — hakuna mtu (hata sisi) anayeweza kuziona.
Kushiriki na Wengine
Hatuuzi taarifa zako kwa mtu yeyote. Tunaweza kushiriki taarifa tu ikiwa:
- Umeturuhusu
- Inahitajika kisheria
- Kulinda usalama wa wanachuo wengine
Haki Zako
Una haki zifuatazo:
- Kufuta akaunti yako wakati wowote
- Kuomba nakala ya taarifa zako
- Kubadilisha taarifa zako
- Kuuliza maswali kuhusu sera hii
Wasiliana Nasi
Kama una swali lolote kuhusu sera hii ya faragha,
wasiliana nasi kwa hello@mwanachuoforums.com.
Sera hii ilisasishwa mara ya mwisho: October 2026