Rudi
h
@heiswalker_308 · CBE · 6 hrs
Mdahalo

Chuo kinatupa knowledge, internship inatupa experience, na interview inatuuliza: 'Una experience ya miaka mingapi?' Sasa hiyo experience tuiombe wapi?

Swali: Je, vyuo vinapaswa kuhakikisha kila mwanafunzi anapata nafasi ya internship yenye uzoefu halisi kabla ya kuhitimu, au mwanafunzi ndiye anayepaswa kujitafutia experience?

@heiswalker_308 was here.
10

Maoni (0)

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza!
Ingia ili kuandika maoni yako.