Rudi
y
Mtaa & Jamii

I think is better to have a Whatsapp group for mwanachuo forums

Is better to have a Whatsapp group
17

Maoni (6)

@mwanachuo_forums Verified account · 1 hr
Group lina limit ya watu ila huku hakuna limit pia unaweza kuiweka kama app kwa simu yako


1. Kwa simu za Android (kupitia Google Chrome)

• Hatua ya 1: Fungua kivinjari cha Google Chrome kisha ingia kwenye tovuti ya mwanachuoforums.com.
• Hatua ya 2: Bonyeza alama ya vidoti vitatu (⋮) vilivyopo juu kabisa upande wa kulia wa skrini yako.
• Hatua ya 3: Chagua "Install app" au "Add to Home screen" kwenye orodha itakayojitokeza.
• Hatua ya 4: Bonyeza Install au Add ili kuhhibitisha, na icon ya mwanachuoforums.com. itawekwa kwenye kioo chako cha simu (Home screen) kama app ya kawaida.

2. Kwa simu za iPhone (kupitia Safari)

• Hatua ya 1: Fungua kivinjari cha Safari (kumbuka: kwenye iPhone inatakiwa utumie Safari ila sio lazima iwe safari inaweza kuwa hata chrome) na nenda kwenye tovuti husika.
• Hatua ya 2: Bonyeza alama ya Share (kishale kinachotoka ndani ya mraba) kilichopo chini katikati au chini kulia mwa skrini yako.
• Hatua ya 3: Sogeza chini kwenye orodha ya chaguo na uguse "Add to Home Screen".
• Hatua ya 4: Badilisha jina la app kama utahitaji, kisha bonyeza Add iliyopo juu kulia. App hiyo itatokea kwenye Home screen yako
Ingia ili kuandika maoni yako.