Rudi
@mizzy · DIT · 21 hrs
Maisha ya Chuo

jamani ivi Chuo Bata kama tulivyokuwa tunaambiwa au Bata ndio sis wenyewπŸ˜‚

Mbona chuo Mambo yashaanza kuwa magumu ndio kwanza orientation Daysz... Sema nini Tukaze tu buti akuna sehem parahisi
7

Maoni (0)

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza!
Ingia ili kuandika maoni yako.