Je, Degree ndiyo ufunguo wa mafanikio?
Kuna watu hawajasoma lakini wana maisha mazuri, na kuna wasomi wengi bado wanatafuta ajira. Je, kusoma ndiyo njia pekee ya kufanikiwa kimaisha? 🤔
💬 Toa maoni yako!
💬 Toa maoni yako!
2
Maoni (0)