Rudi
@zak · CBE · 2 hrs
Mdahalo

Kusoma Kwanza au Kutafuta Pesa? ๐ŸŽ“๐Ÿ’ฐ

๐Ÿ”ฅ MADA YA LEO:

Je, ni bora mwanafunzi wa chuo kuanza kutafuta pesa akiwa bado anasoma, au amalize kwanza masomo ndipo aanze kujenga maisha yake? ๐ŸŽ“๐Ÿ’ฐ

Wapo wanaosema kusoma pekee hakutoshi bila kujitegemea kifedha, lakini wengine wanaamini kujikita kwenye masomo ndiyo njia bora ya kufikia mafanikio ya muda mrefu.

Wewe una upande gani? ๐Ÿค”

1๏ธโƒฃ Kutafuta pesa huku nikisoma.
2๏ธโƒฃ Kumaliza masomo kwanza.
3๏ธโƒฃ Kufanya vyote kwa uwiano.

Toa sababu ya jibu lako kwenye comments. ๐Ÿ‘‡๐Ÿ”ฅ
7

Maoni (0)

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza!
Ingia ili kuandika maoni yako.