๐ฅ Maisha ya Chuo: Yanakujenga au Yanakuharibu? ๐๐
TUWE WAKWELI KIDOGO ๐๐
Kwa maoni yako, maisha ya chuo yanamjenga mtu au yanamharibu?
Kuna watu wanatoka chuo wakiwa na malengo makubwa, skills na connections. Lakini wengine wanatoka na degree tu, bila kujua hatua inayofuata.
Swali ni hili: Chuo kinatengeneza future yako au wewe ndiye unayetengeneza future yako ukiwa chuo? ๐ค
Nataka kusikia maoni yenu bila kuogopana. ๐๐ฅ

12
Maoni (0)