Rudi
d
@dottonoel · SUA · 1 hr
Fursa & Ajira

Naona hatua njema kwa mwanachuo sasa ni kujiajiri hata akiwa ingali yuko chuoni

Mwanachuo anapaswa kuwa na positive mindset ya kujua ndoto zake na malengo yake ya mbele ndo maana ako different na watoto wa.shule
17

Maoni (2)

@kenedy_nkinga · 1 hr
#Si ndio lakini yoyote kwa yote, Wapo wanaokatishwa na ndoto zao wenyewe na sio kwamba wamependa kuwa Negative hapana Ila ndoto ya mtu husika huipambania yeye mwenyewe ili kufikia malengo.... Wengi tunasoma bila malengo ndipo tunakuja kufanyia kazi kitu tofauti na ulichosomea dati is life...
@mwanachuo_forumsVerified account · 10 mins
Hii ni kweli. 💯