๐งต TUJADILI: MATARAJIO YAKO KABLA YA KUJIUNGA NA CHUO
Kabla hujajiunga na chuo chako, bila shaka kuna mambo uliyosikia kuhusu chuo hicho kutoka kwa watu wengine.
Swali letu ni hili: Uliyoyasikia kabla ya kujiunga yalikuwa ya kweli, au ulipofika chuoni ulikuta hali ni tofauti na ulivyotarajia?
Tushirikishe uzoefu wako. Huenda ukamsaidia mwanafunzi mwingine anayetarajia kujiunga na chuo hicho kufanya maamuzi akiwa na uelewa mzuri zaidi.
Karibu tushirikishane uzoefu wetu katika maoni. ๐
@mwanachuo_forums

3
Maoni (0)