Rudi
b
@beastcodes · CBE · 1 hr
Mtaa & Jamii

Kuwajibika

Kuwajibika
Kujitoa kwa Hali na mali kwenye sekta na taasisi zinazohitaji nguvu kazi ya kujitolea kumekuwa na chachu kubwa kwenye urahisi wakati wa upatikanaji wa ajira . Ikichochewa kuwa ndio chanzo kikubwa cha upatikanaji wa uzoefu wa kazi kabla ya kuajiriwa
25

Maoni (1)

Pinned by author
@mwanachuo_forumsVerified account · 1 hr
Naungana na wewe 🙏
Attachment