Demu wako akienda UDOM mkombatie mala ya mwisho. 2023 hyooo mwamba nimetoka zangu advance na demu wangu flan hivi toto mkali tumekuja chuo mi nkaingia zangu mabibo ye akain…
Daah so painfull Wale wa wanangu wa mabibo. Wauza msosi wa pale mabibo sokoni sasa wametolewa. Tutapata wap msosi wa buku wa kushiba? 🥺🥺🥺🥺🥺