🧠 TUONGEE UKWELI! 🎓
Ni chuo gani Tanzania ambacho kupata GPA ya 3.5 ni mtihani mwingine kwa sababu ya ugumu wa mitihani na utoaji wa maksi? 👀 ☐ CBE ☐ UDSM (CoICT/CoET) ☐ IFM ☐ DIT ☐ Chuo kingine (taja…
9
48