DEMU WAKO AKIENDA UDOM MKOMBATIE MALA YA MWISHO
Demu wako akienda UDOM mkombatie mala ya mwisho.
2023 hyooo mwamba nimetoka zangu advance na demu wangu flan hivi toto mkali tumekuja chuo mi nkaingia zangu mabibo ye akaingia zake UDOM mwamba nilijitaidi sana sana kumzingatia semister one tukavuka semister two mambo ndo yanabadilika demu akawa anasingizia venue kila mala kila wakati. Yaani mambo yakawa ni wifi connected with no internet mambo so poa. Siku moja napeleka delivery za kiwinga mbezi sikuamini kama yule ndo yeye. Mtu anasoma UDOM lakin yupo zake mbezi na mbaya zaidi ni kwamba aliyeniagiza mzigo ndo yuko naee! Kama unavojua wanaume tunajitiaga ujasusi mi nilifika nkatoa zangu ile simu nkampa mnunuaji akanipanchangu. Na aikutegemea km yule aliyekuaga demu wangu ndiye aliye kua ananunuliwa ile simu. NA ALIKUA KANIOMBA HELA ANASEMA HAJALA TOKA ASUBUI
Toka siku hyo ya tarehe 22/07/2023 hadi leo nawaogopa wanawake wa UDOM

7
Maoni (0)