GPA ni kama mapenzi: unaweza kujituma sana, lakini mwisho wa semester matokeo yakakuambia hamkuwa kwenye ukurasa mmoja. ๐
Swali la mjadala: Je, GPA inaonyesha uwezo halisi wa mwanafunzi, au kuna vipaji na uwezo ambao mfumo wa GPA hauwezi kupima?
16
Maoni (1)