Rudi
w
@wise_man·2 hrs
Mdahalo

πŸŽ“ DAR ES SALAAM VS MIKOANI

Wanafunzi wanaotoka mikoani vs wanaotoka Dar es Salaam...

Nani anajua zaidi ku-enjoy maisha ya chuo? πŸ‘€ Pia nani rahisi kufanikiwa kimaisha

Je, ni uzoefu wa maisha, uhuru, mazingira au uwezo wa kuzoea maisha mapya?

Taja upande wako na sababu! πŸ‘‡
24

Maoni (1)

i
Most of watu wa Kijijin wanaenjoy maisha zaid kutokana na ugen na kufwata lifestyle ya watu wa mjin lkn kwenye kufanikiwa ni watu wa mjin zaid maana wanajua kuchangamkia fursa kutokana na uzoefu wa mazingira yao
Ingia ili kuandika maoni yako.