GPA, Skills, Connections au Pesa Kipi Kina Thamani Zaidi Ukiwa Chuo? �
🔥 IJUMAA YA TAFakari: TUONGEE UKWELI! 🎓💭
Kuna kitu kimoja ambacho maisha ya chuo yanatufundisha kwa njia ambayo hatukutarajia…
Unaweza kuwa na degree bila kuwa na direction ya maisha. 📚
Unaweza kupata GPA nzuri, ukamaliza chuo kwa mafanikio, lakini bado ukajiuliza: “Sasa hatua inayofuata ni ipi?” 🤔
Ndiyo maana chuo si kusoma vitabu pekee. Ni kujenga skills, kutengeneza connections, kujifunza kutumia fursa na kujiandaa kwa maisha baada ya graduation.
🔥 SWALI LA LEO:
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kimoja tu ukiwa chuo, ungechagua nini?
🎓 A. GPA kubwa na matokeo mazuri.
💻 B. Skills zinazoweza kukuingizia pesa.
🤝 C. Connections na watu sahihi.
💰 D. Mtaji wa kuanzisha biashara yako.
Chagua A, B, C au D, kisha eleza sababu yako kwenye comments. 👇🏽
Zameme | Learn • Connect • Grow 💙

25
Maoni (2)